Ni wanachuo cha CBE mwanza wapata ajari ya gari akiwemo aliekuwa Mr CBE mwanza 2012/2013 usiku wa kuamkia leo tarehe 8/2/2014 jijin dar es salaam walikuwa watano kwenye gari hilo na watatu kufaliki hapohapo
Tazama picha hizi enzi za uhai wao
2. ni mmoja ya kijana aliyekuwa Mr CBE mwanza campus
3. ni baada ya kupata ajari na kufarik hapo hapo...... kweli dunia haina mwenyewe
4. Ikumbukwe kwamba kipindi kijana huyo anachukua Mr cbea ya ally thabit kumaliza muda wake katika taji hilo nanmi nilikuwepo katika orodha ya wanachuo (wasanii) waliohudhuria na kuimba(kuburudisha)niliingia na dansers ilifanyika TUNZA BEACH MWANZA
Familia ya CBE itazid kuwakumbuka daima kwaa mchango wenu
Mungu ilaze miili ya marehemu wote pema pepon
ameen
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni