Baada
ya zoezi la kupitia fomu za vijana na wakulima wanawake kutoka nchi
nzima, wafuatao wamechaguliwa kwa ajili ya usaili wa Maisha Plus/ Mama
shujaa wa chakula 2014.
Vijana
40 waliochaguliwa watagawanywa katika makundi mawili ya vijana 20.
Kundi moja litapelekwa katika kijiji cha awali Iringa na kundi jingine
katika kijiji cha awali Zanzibar. Huko watatakiwa kuishi na kushiriki
katika shughuli mbalimbali za maendeleo katika vijiji hivyo. Mwisho
wanakijiji watatakiwa kuwapigia kura ili kupata washiriki 9 kutoka kila
kijiji hivyo kuwa na jumla ya vijana 18. Hawa wataungana na wenzao 12
kutoka nchi za Burundi, Kenya, Rwanda na Uganda.
Mama
shujaa wa chakula 30 watafanyiwa uhakiki 'verification' wa taarifa
zilizojazwa kwenye fomu, zoezi hilo litaambatana na upigaji picha za
mnato pamoja na video na kisha kupigiwa kura kupitia mtandao pamoja na
SMS (meseji) ili kupata washiriki 20 ambao wataenda katika kijiji cha
Maisha Plus kuungana na vijana.
Maisha Plus 2014
- 1. Adolph Anacleth - Mwanza
- 2. Agatha Kalesu – Rukwa
- 3. Ally Thabit - Mwanza
- 4. Anastazia John – Mara
- 5. Asumta Mwingira – Dar es salaam
- 6. Ausi Abdul Moyo – Ruvuma
- 7. Bakari Khalid – Shinyanga
- 8. Boniphace Meng’anyi Nyankena – Dar es salaam
- 9. Charles Daniel – Simiyu
- 10. Douglas Said Msalu - Arusha
- 11. Ellymathew Kika – Njombe
- 12. Elizabeth Joachim - Tabora
- 13. Fahamni Kaite Mwadini – Zanzibar
- 14. Farida Ally – Pwani
- 15. Fadhili Isanga - Kilimanjaro
- 16. Flora John - Singida
- 17. Frederick Joseph Ndahani – Singida
- 18. Hyasinta T. Hokororo - Mtwara
- 19. Jane Julio Kalinga – Iringa
- 20. John Sylvester Malima - Geita
- 21. Joyce Jacob Mushy - Arusha
- 22. Marriam Mosses - Shinyanga
- 23. Mary Nicholaus Kavishe – Manyara
- 24. Mbonimpaye N. Nkoronko – Rukwa
- 25. Mohammed Selemani Lipemba - Lindi
- 26. Moureene K. Daud - Kagera
- 27. Nelson Daniel – Dar es salaam
- 28. Ngoma Abdallah – Kigoma
- 29. Osama Norman – Mbeya
- 30. Otilia Selestin Simime - Mbeya
- 31. Said Salum – Katavi
- 32. Salumu Saidi Johari – Mtwara
- 33. Scholastica Deusidedith – Geita
- 34. Seif Mohamed Salum - Tabora
- 35. Shaaban Masoud Shaaban – Zanzibar
- 36. Shida Keneth Mganga – Dodoma
- 37. Shishira G. Mnzava - Morogoro
- 38. Thomas P. Mgazwa – Dodoma
- 39. Yassini Hamisi Suddi – Dar es salaam
- 40. Zaharani Yusuph Hossen – Tanga
Mama Shujaa wa Chakula 2014
- 1. Amina Kupela Chikaponya – Mtwara
- 2. Anna James Yuda – Morogoro
- 3. Anna Mwanilyela Chrisant – Katavi
- 4. Bahati Muriga –Mwanza
- 5. Clara Ancilla Ibihya – Pwani
- 6. Cristina Kurwa Malale – Zanzibar
- 7. Dina Rusoti – Mara
- 8. Dionisia Rashidi Karata – Tanga
- 9. Doricus Msafiri Shumbi – Singida
- 10. Edina Jamas – Mbeya
- 11. Elinuru Moses Pallangyo – Arusha
- 12. Elizabeth Matayo – Geita
- 13. Elizabeth Simon – Morogoro
- 14. Ezeleda Chedego – Dodoma
- 15. Fredina M. Said – Shinyanga
- 16. Gladness Ebenezery Mmary – Kilimanjaro
- 17. Grace G.D. Mahumbuka – Kagera
- 18. Janeth Niima – Manyara
- 19. Kuruthumu Ramadhani Mwengele – Tanga
- 20. Leah Dominick Mnyambugwe – Dodoma
- 21. Mary Athanaz Ndasi – Rukwa
- 22. Mary John Mwanga – Singida
- 23. Mary Kessy – Dar es salaam
- 24. Neema Robert – Simiyu
- 25. Nyachum Haji Ame – Zanzibar
- 26. Pendo Musa – Morogoro
- 27. Santina Mapile – Njombe
- 28. Thereza Kitinga – Mwanza
- 29. Zaituni Shedrack Kalenbi – Kigoma
- 30. Zamda Daniely Mgonganga – Iringa
Tunatoa
pongezi kwa wote waliochaguliwa kwa ajili ya usaili. Asanteni na pole
kwa wengine wote walioshiriki lakini hawakubahatika. Tunasikitika
hatukuweza kuwachagua wote. Tafadhali jaribuni msimu ujao.