Jumatano, 12 Februari 2014

WALIOCHAGULIWA KWA AJILI YA USAJILI WA MAISHA PLUS



Baada ya zoezi la kupitia fomu za vijana na wakulima wanawake kutoka nchi nzima, wafuatao wamechaguliwa kwa ajili ya usaili wa Maisha Plus/ Mama shujaa wa chakula 2014.
Vijana 40 waliochaguliwa watagawanywa katika makundi mawili ya vijana 20. Kundi moja litapelekwa katika kijiji cha awali Iringa na kundi jingine katika kijiji cha awali Zanzibar. Huko watatakiwa kuishi na kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo katika vijiji hivyo. Mwisho wanakijiji watatakiwa kuwapigia kura ili kupata washiriki 9 kutoka kila kijiji hivyo kuwa na jumla ya vijana 18. Hawa wataungana na wenzao 12 kutoka nchi za Burundi, Kenya, Rwanda na Uganda.
Mama shujaa wa chakula 30 watafanyiwa uhakiki 'verification' wa taarifa zilizojazwa kwenye fomu, zoezi hilo litaambatana na upigaji picha za mnato pamoja na video na kisha kupigiwa kura kupitia mtandao pamoja na SMS (meseji) ili kupata washiriki 20 ambao wataenda katika kijiji cha Maisha Plus kuungana na vijana.

Maisha Plus 2014

  • 1. Adolph Anacleth - Mwanza
  • 2. Agatha Kalesu – Rukwa
  • 3. Ally Thabit - Mwanza
  • 4. Anastazia John – Mara
  • 5. Asumta Mwingira – Dar es salaam
  • 6. Ausi Abdul Moyo – Ruvuma
  • 7. Bakari Khalid – Shinyanga
  • 8. Boniphace Meng’anyi Nyankena – Dar es salaam
  • 9. Charles Daniel – Simiyu
  • 10. Douglas Said Msalu - Arusha
  • 11. Ellymathew Kika – Njombe
  • 12. Elizabeth Joachim - Tabora
  • 13. Fahamni Kaite Mwadini – Zanzibar
  • 14. Farida Ally – Pwani
  • 15. Fadhili Isanga - Kilimanjaro
  • 16. Flora John - Singida
  • 17. Frederick Joseph Ndahani – Singida
  • 18. Hyasinta T. Hokororo - Mtwara
  • 19. Jane Julio Kalinga – Iringa
  • 20. John Sylvester Malima - Geita
  • 21. Joyce Jacob Mushy - Arusha
  • 22. Marriam Mosses - Shinyanga
  • 23. Mary Nicholaus Kavishe – Manyara
  • 24. Mbonimpaye N. Nkoronko – Rukwa
  • 25. Mohammed Selemani Lipemba - Lindi
  • 26. Moureene K. Daud - Kagera
  • 27. Nelson Daniel – Dar es salaam
  • 28. Ngoma Abdallah – Kigoma
  • 29. Osama Norman – Mbeya
  • 30. Otilia Selestin Simime - Mbeya
  • 31. Said Salum – Katavi
  • 32. Salumu Saidi Johari – Mtwara
  • 33. Scholastica Deusidedith – Geita
  • 34. Seif Mohamed Salum - Tabora
  • 35. Shaaban Masoud Shaaban – Zanzibar
  • 36. Shida Keneth Mganga – Dodoma
  • 37. Shishira G. Mnzava - Morogoro
  • 38. Thomas P. Mgazwa – Dodoma
  • 39. Yassini Hamisi Suddi – Dar es salaam
  • 40. Zaharani Yusuph Hossen – Tanga

Mama Shujaa wa Chakula 2014

  • 1. Amina Kupela Chikaponya – Mtwara
  • 2. Anna James Yuda – Morogoro
  • 3. Anna Mwanilyela Chrisant – Katavi
  • 4. Bahati Muriga –Mwanza
  • 5. Clara Ancilla Ibihya – Pwani
  • 6. Cristina Kurwa Malale – Zanzibar
  • 7. Dina Rusoti – Mara
  • 8. Dionisia Rashidi Karata – Tanga
  • 9. Doricus Msafiri Shumbi – Singida
  • 10. Edina Jamas – Mbeya
  • 11. Elinuru Moses Pallangyo – Arusha
  • 12. Elizabeth Matayo – Geita
  • 13. Elizabeth Simon – Morogoro
  • 14. Ezeleda Chedego – Dodoma
  • 15. Fredina M. Said – Shinyanga
  • 16. Gladness Ebenezery Mmary – Kilimanjaro
  • 17. Grace G.D. Mahumbuka – Kagera
  • 18. Janeth Niima – Manyara
  • 19. Kuruthumu Ramadhani Mwengele – Tanga
  • 20. Leah Dominick Mnyambugwe – Dodoma
  • 21. Mary Athanaz Ndasi – Rukwa
  • 22. Mary John Mwanga – Singida
  • 23. Mary Kessy – Dar es salaam
  • 24. Neema Robert – Simiyu
  • 25. Nyachum Haji Ame – Zanzibar
  • 26. Pendo Musa – Morogoro
  • 27. Santina Mapile – Njombe
  • 28. Thereza Kitinga – Mwanza
  • 29. Zaituni Shedrack Kalenbi – Kigoma
  • 30. Zamda Daniely Mgonganga – Iringa
Tunatoa pongezi kwa wote waliochaguliwa kwa ajili ya usaili. Asanteni na pole kwa wengine wote walioshiriki lakini hawakubahatika. Tunasikitika hatukuweza kuwachagua wote. Tafadhali jaribuni msimu ujao.

Jumatatu, 10 Februari 2014

RAIS BARACK OBAMA NA MWANADADA BEYOCE WAHISIWA KUWA NA MAH*SIANO YA K*MAP*NZ*, CHEKI TUKIO HAPA

Could it be true that Obamas and Beyonce have had a close relationship for a number of years?
Beyonce, was present at Obama’s swearing-in ceremony in 2009 and for Michelle Obama’s 50th birthday recently. A french tabloid had reported that Beyonce and President Obama had an affair.

A Source (a French photographer Pascal Rostain,) said that the American press will disclose this tomorrow, Tuesday, February 11, 2014 , a "love affair" between Barack Obama and Beyonce.
According to jerusalemonline.com, While the

story sounds sensational and not to be believed, if it is published in the Post, it will most likely set off a whirlwind of press and rumors in American politics.

We are seriously waiting for the Washington Post to unveil the full report by tomorrow.

TAZAMA PICHA 10 ZA BABY MADAHA ZENYE MVUTO AMBAO SI WAKAIDA.... YANI NI BALAA NA NI SHIDA KWA MAPEDESHEE:










Ungependa kujua alichopost Mrisho Ngassa kuhusu Amisi Tambwe wa Simba? Hiki hapa




ngassa tambweMshambuliaji wa klabu ya Yanga Mrisho Ngassa juzi alifanya kitu ambacho wapenzi wengi wa klabu yake ya Yanga wanaweza kuwa hawajawahi kukifikiria kama angekifanya – hii ilikuwa baada ya kutumia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter kutoa sifa kwa mshambuliaji wa kimataifa wa mahasimu wao klabu ya Simba – Amis Tambwe

Ngasa aliandika
Ngasa Tambwe

CLASSIC ENTERTAINMENT BLOG: MAFURIKO BARABARANI KIJIJI CHA MGAGAO MKOANI KILIM...

CLASSIC ENTERTAINMENT BLOG: MAFURIKO BARABARANI KIJIJI CHA MGAGAO MKOANI KILIM...:  Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya milima ya Pare Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro zimeporomosja maj na kusabisha...

MAFURIKO BARABARANI KIJIJI CHA MGAGAO MKOANI KILIMANJARO

 Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya milima ya Pare Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro zimeporomosja maj na kusabisha mafuriko katika eneo la Kijiji cha Mgagao na kuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara kuu ya Moshi - Same mkoani humo. Pichani ni moja ya magari yakielekezwa namna ya kuvuka na vijana wakazi wa eneo la Mgagao ambao hufanya hivyo kwa kulipwa ujira kidogo.
 Mwendesha bodaboda akipita katika dmbwi hilo la maji eneo la Mgagao.

 Gari likipitwa kwa kuongozwa na vijana wa Mgagao.
Vijana hao wakichukua ujira wao kutoka kwa dereva wagari. 
Fedha huleta ugomvi na chuki, pichani vijana hao wakitaka kugombana baada ya kulipwa ujitra wao huo wa kuliongoza gari. Baadhi ya watu wamedai maji hayo huzidi na kyusababisha magari kukwama eneo hilo, hivyo kuiomba serikali kupitia Wizxara ya Ujenzi na TANROADS kuweka daraja au kalavati kubwa eneo hilo kunusuru athari zaidi za maji hayo.